KIJANA WA MIAKA 20 ABAKA MTOTO WA MIAKA 6 PWAGA MPWAPWA
Na
noel Stephen mpwapwa
Kijana mmoja
aliye tambulika kwa jina Teophil Nganga(20)mkazi wa kijiji cha
Pwaga wilayani mpwapwa mkoani
Dodoma anashikiliwa na polisi katika kituo cha polisi Kibakwe kwa tuhuma za kutaka kumbaka mtoto wa miaka 7 mwanafunzi wa chekekaea katika shule moja
wapo ya kata hiyo.
Tukio
hilo limetokea hivi karibuni katika kata ya
Lumuma wilayani mpwapwa ambapo
kijana Teophil anadaiwa kumbaka
mtoto huyo kwa kumdanganya kwa
kutaka kumpa karanga za kutafuna.
Mmoja
wa mashuhuda wa tukio hilo na mwanaharakati
wa shirika la AFNET la kuapmabana
na vtendo vya ukatili wa kijinsia katika
kata hiyo Clemenc Ngewe aliambia mwananchi kuwa kijana huyo alimwita mtoto
huyo kwa madai ya kutaka kumpa karanga
na ndipo alipo mwingiza ndani ya chumba chake na kuanza kumbaka.
Clemenc
alisema baada ya mtoto huyo kuingia
ndani walisikia kelele za mtoto za kuomba msaada, na ndipo walipo enda kutoa msaada walikuta
mtoto huyo na huku mtoto akiwa
analalamika kuwa kambakwa.
Mganga
mkuu wa kituo cha Afya cha kata hiyo
Mhawi ……….. alisema baada ya mtoto huyo kupelekwa katika kituo cha afya hawakuona usahahidi wowote kwa mtoto huyo
uchubuliwa ua mabaki ya u chafu “hivyo
tulishidwa kugundua kuwa kweli mtoto
huyo amebakwa au laa lakini maelezo ya mtoto yanadai kuwa amebakwa
na kijana huyo ”alieza muhawi na kuongeza.
Aidha
alisema baada ya tukio kutokea wazazi wa
mtoto huyo walimpeleka mtoto huyo kwenda kupima
wakati tayari amesha lala siku moja
na ameoga na kuoga kitu ambacho kinapoteza
ushahidi kabisa “lakini vipimo tulivyo pima
ndivyo tulivyo gundua hivyo kwa
hiyo hatupinagani na vipimo’’ alielezea zaidi muhawi.
Mzazi
wa kiume wa mtoto huyo Walesi Chugwa
amekanusha kabisa kuwa mtoto wake hajabakwa bali walikuwa wanacheza tu
na wenzake “ mimi nakuambia kuwa hajabakwa walikuwa wanacheza tuu na wezake
ndipo nilipo waadhibu tu kwa viboko vichache tu lakini hajabakwa”aliezea mzazi
wake wa kiume.
Taaarifa zilizo lifikia gazeti hili zimedai kuwa wazazi wa mtoto huyo tayari walisha malizana
(walilipwa na upande wa kijana aliyebaka) na ndio maana hata walichukua muda mrefu kwenda kupeleka katika vipimo lakini walifanya hivyo tu
kutokana na shinikizo la wananchi.
Comments
Post a Comment