WALIMU WATOA MSAADA KWA DC WA KUJIKINGA NA CORONA.
MPWAPWA. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri akipokea ndoo za maji Tiririka kutoka kwa katibu wa Umoja wa walimu ambao ni wanachama wa CCM. UMOJA wa walimu wilayani Mpwapwa ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamekabidhi vifaa vya kuji ki nga na ugonjwa wa COVID 19 unaosabishwa na v irusi vya CORONA kwa mkuu wa wilaya hiyo. Vifaa hivyo vimepokelewa na mkuu wa wilaya ya Mpwapwa. Katibu wa umoja huo Mwl Nelson Nyaombo a me sema wameamua kufanya hivyo hili kuweza kuungana mkono na serikali katika jitihada kubwa wananazozifanya za mapambano dhidi ya Covid 19 hapa nchini na ndani ya wilaya . M wl Nyaombo a me sema vifaa walivyotoa ni ndoo 25 za maji tiririka zenye thamani ya shilingi 300,000/=(laki tatu) ambazo serikali zitatoa muuongozo njisi gani zitagawiwa . A me sema walimu wananafasi kubwa ya kuelimisha jamii kwa njia ya vitendo ...