Posts

Showing posts from 2024

SERIKALI YASHAURIWA KUWAPA KIPAUMBELE CHA AJIRA WALIMU WANAO JITOLEA KWANZA.

Image
  Baadhi ya wanachuo wa chuo cha ualimu hapa Mpwapwa . SERIKALI imeshauriwa kuweza kuwapa kipaumbele walimu waliohitimu nmafunzo Yao na wakaamua kujitolea Katika shule mbali mbali hapa Nchini  Ili kuweza kuziba pengo la upungufu wa walimu Katika shule za Msingi na sekondari  Ushauri huo ulitoleaa na mdau wa Elimu na mbobezi wa masuala ya Elimu hapa Nchini  Mwl Dkt ,Wiliam Hugo Ndipo alipokuwa akiongea na chombo hiki Nyumbani kwake mjini Mpwapwa (Mji mpya). Dkt Ndimbo alisema  kwa sasa shule nyingi hapa Nchini zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu  hasa shule za vijijin kabisa  japo kuwa vyuo vy kati na vyuo vikuu vikiendelea kutoa wahitimu Kila mwaka . Alisema " kiukwel kila mwaka vyuo hivi bimeendelea kutoa  wahitimu  wa vyuo vya kati na vyuo vikuu lakin upungufu Bado upo na hivyo husabanisha utoaji wa Elimu kuto kuwa SAWA kati ya maneo  ya mjini na vijijin ,lakin hawa walimu wanaenda wapi mala baada ya kuhitimu wapo ambao wamejiajili ...

*VIJANA WA BBT – LIFE WAONESHWA VITALU,RAIS SAMIA ATAJWA KWA MCHANGO WAKE MKUBWA KWENYE SEKTA YA MIFUGO*

Image
  Na Stephen Noel Kagera.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kutafsiri ndoto halisi ya wingi wa mifugo nchini katika kubadilisha mfumo wa maisha kwa watanzania kupitia sekta hiyo. Akizungumza (21.05.2024) wakati wa hafla fupi ya kuwaonesha vijana wanaohitimu mafunzo ya unenepeshaji mifugo kupitia Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT – LIFE), inayosimamiwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, vitalu watakavyopatiwa kwa ajili ya ufugaji katika Ranchi za Kagoma na Kitengule zinazosimamaiwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Mhe. Julius Laizer amesema Mhe. Rais ameweza kuirasimisha rasmi biashara ya mazao ya mifugo kwa kuwa Sekta ya Mifugo ni muhimu katika maisha ya binadamu.   Akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kagera, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika Ranchi ya Kagoma iliyopo Wilaya ya Karagwe mkoani humo ya kuwaonesha vijana wanaohitimu mafunzo ya unenepeshaji mifugo kupitia Programu ya Je...

VIJANA 4800 WAWEZESHWA MITAJI NA SHIRIKA LA BRAC MAENDELEO DODOMA

Image
DODOMA, Afisa tarafa ya Mpwapwa Bwana Obert Mwalyego  akimkabidhi mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia kazi  vifaa vya saloon. IMEELEZWA kuwa umaskini wa kipato  ni Moja wapo ya yanzo vikuu vya wasichana wengi  kufanyiwa ukatili wa kijinsia ndani ya jamii   tunamo ishi. Kauli hiyo   imetolewa  na kaimu Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa ambae ni katibu tarafa  wa tarafa ya Mpwapwa Bwana Olbert Mwalyego  wakati wa sherehe za kukabithi vifaa vya kufanyia kazi Kwa  Mabinti barehe ambao walipatiwa mafunzo ya ujasilia Mali na kufuzu mafunzo hayo na shirika la black maendeeo. Mwalyego amesema Kwa Sasa kundi kubwa linalo jikuta likiathiriwa na masuala ya ukatili wa kijinsia  ni kundi la vijana na Mabinti barehe ambao wengi wao ambao hawana ajira."ukweli ni kwamba tafiti mbalimbali zinadai kuwa moja wapo ya vyanzo vya ukatili ni umaskini wa kipato unaotokana na vijana wengi kukosa mitaji ya kufanyia kazi hivyo nawapongeza ...