KLIMO CHA UMWAGILIAJI HATARINI KUTOWEKA CHAMKOLOMA
N a Stephen noel – Kongwa. KILIMO Cha umwagiliaji katika kata ya chamkoloma wilyani Kogwa kipo hataririni kutoweka na kufutika kabisa kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea katika vijiji vya Tubugwe juu, Mseta,Kiboriani, na kijiji cha Sagala. Ras fm imetembelea maeneo hayo ambayo ambayo ni Tubugwe kibaoni, tubugwe juu,mseta A, Mseta bondeni,chamkoloma, makole na ambapo ilijionea uharibifu mkubwa wa mazingira ,ikiwemo wanachi wa vijiji hivyo kukata miti sana katika milima hiyo na kulima katika vyanzo vya maji, ambayo imekua ni tishio kubwa kwa baadhi ya mabonde kuanza kukausha maji na kupungua kwa uzalishaji wa mazao kama miwa na maharage yanayo limwa katika mabonde hayo. Mtendaji kata ya chamkolama Bwana Fanuel Ng’anda alisema kata hiyo ambayo imekuwa ni tegemeo kubwa la m...