Posts

Showing posts from September, 2014

WAHUKUMIWA IAKA 20 JELA KWA UNYANG'ANYI

Na Stephen Noel- mpwapwa   MAHAKAMA   ya wilaya   ya mpwapwa mkoni DODOMA imewahukumu   kifungo cha miaka   ishirini gerezani vijana   watatu wakazi wa Iyoma   wilayani hapa   ambao ni   Ivani Chisomi (36) na Mangaisa   Madelemu(30)   na   Lameck Chikoti28. Mahakama hiyo iwatia hatiani   vijana   hao baada ya kupataikana na hatia ya unayanaganyi wa kutumia siraha ambapo    waliiba mifugo   aina ya ng’ombe sita    mali ya Mayanda Chikoti.   Mahakama hiyo ilisema kabala hawajaiba waliweza kumteka   mwenye mali na kupiga na kumjeruhi   na kumweka chini ya ulinzi kwa zaidi ya masaa 9 huku akiwa amefungwa kamaba   miguu na mikono. Hakimu mkazi mfawidhi   wa mahakama ya wilaya hiyo Jemsi Kareyemaha   alisema   washitakiwa wote watatu   walifanya   kosa   hilo kinyume na viungu 285 na 286 ya kanuni ya adahabu   sura 16 iliyofanyiwa ...

RAISI AZITKA HALMASHAURI KUTUMIA VIZURI PESA ZA MFUKO WA BARABARA

Na Stephen noel- mpwapwa   RAISI wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania   Dkt Jakaya Mlisho Kikwete   amezitaka halamashauari zote nchini kuweza     kutunza na kutumia vizuri fedha za ruzuku za barabara   zinazotolewa na serikali ili ziweze   kuondoa kero za barabara   vijijini. Raisi Jakaya aliyasema hayo katika siku yake ya pili ya ziara mkoani Dodoma wilayani mpwapwa alipokuwa   akiongea na wananchi wa mpwapwa katika viwanja vya shule ya msingi   Mtejeta. Dkt    Jakaya alisema kuwa   serikali imewekeza pesa   nyingi sana katika   ruzuku ya barabara kwa serikali   lakini pesa hizo zimeonekana   kuto kuondoa kero ya barabara vijijini   kutoka na   baadhi wa watendaji wa halmashauri za   wilaya kushidwa kuzitumia pesa hizo kwa malengo yaliyo kusudiwa   bali hujinufaisha wao wenyewe. Alisema lengo la serikali ni   kuweza   kuunganisha   barabara za vijijini ...