Posts

Showing posts from July, 2024

SERIKALI YASHAURIWA KUWAPA KIPAUMBELE CHA AJIRA WALIMU WANAO JITOLEA KWANZA.

Image
  Baadhi ya wanachuo wa chuo cha ualimu hapa Mpwapwa . SERIKALI imeshauriwa kuweza kuwapa kipaumbele walimu waliohitimu nmafunzo Yao na wakaamua kujitolea Katika shule mbali mbali hapa Nchini  Ili kuweza kuziba pengo la upungufu wa walimu Katika shule za Msingi na sekondari  Ushauri huo ulitoleaa na mdau wa Elimu na mbobezi wa masuala ya Elimu hapa Nchini  Mwl Dkt ,Wiliam Hugo Ndipo alipokuwa akiongea na chombo hiki Nyumbani kwake mjini Mpwapwa (Mji mpya). Dkt Ndimbo alisema  kwa sasa shule nyingi hapa Nchini zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu  hasa shule za vijijin kabisa  japo kuwa vyuo vy kati na vyuo vikuu vikiendelea kutoa wahitimu Kila mwaka . Alisema " kiukwel kila mwaka vyuo hivi bimeendelea kutoa  wahitimu  wa vyuo vya kati na vyuo vikuu lakin upungufu Bado upo na hivyo husabanisha utoaji wa Elimu kuto kuwa SAWA kati ya maneo  ya mjini na vijijin ,lakin hawa walimu wanaenda wapi mala baada ya kuhitimu wapo ambao wamejiajili ...