VIJANA 4800 WAWEZESHWA MITAJI NA SHIRIKA LA BRAC MAENDELEO DODOMA
DODOMA, Afisa tarafa ya Mpwapwa Bwana Obert Mwalyego akimkabidhi mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia kazi vifaa vya saloon. IMEELEZWA kuwa umaskini wa kipato ni Moja wapo ya yanzo vikuu vya wasichana wengi kufanyiwa ukatili wa kijinsia ndani ya jamii tunamo ishi. Kauli hiyo imetolewa na kaimu Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa ambae ni katibu tarafa wa tarafa ya Mpwapwa Bwana Olbert Mwalyego wakati wa sherehe za kukabithi vifaa vya kufanyia kazi Kwa Mabinti barehe ambao walipatiwa mafunzo ya ujasilia Mali na kufuzu mafunzo hayo na shirika la black maendeeo. Mwalyego amesema Kwa Sasa kundi kubwa linalo jikuta likiathiriwa na masuala ya ukatili wa kijinsia ni kundi la vijana na Mabinti barehe ambao wengi wao ambao hawana ajira."ukweli ni kwamba tafiti mbalimbali zinadai kuwa moja wapo ya vyanzo vya ukatili ni umaskini wa kipato unaotokana na vijana wengi kukosa mitaji ya kufanyia kazi hivyo nawapongeza ...