Posts
Showing posts from February, 2017
MKINZANO WA SHERIA KIKWAZO UHARIBIFU MAZINGIRA MPWAPWA.
- Get link
- X
- Other Apps
Na Stephen Noel. mpwapwa . MKUU wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma bwana Jabir Shekimweri amesema mkinzano mkubwa uliopo kati ya sheria mama ya mazingira ya mwaka 2004 na sheria ndogo ya halmasahauri ya wilaya hiyo ni miongoni mwa sababu zinazo fifisha harakati za kupambana na uharibifu wa mazingira wilayani hapa. Shekimweri ameyasema hayo mjini hapa alipokuwa akifanya mahojiano maluum majira juu ya hakarakati na mkakati uliopo kwa wilaya ya mpwapwa juu ya uharibifu wa mazingira na matokeo yake. Shakimweri amesema kuwa sheria ya mama ya mazingira mwaka ya mwaka 2004 inayo mtaka mharibifu wamazingira anapo patikana na hatia anahukumiwa kifungo cha cha miezi sita hadi mika miwili jela au faini ya shilingi 50,000/= hadi million 50,000,000/= au vyote viwili kwa pamoja. Aidha amesema kuwa sheria ndogo ya halamasahauri hiyo ina...