AUWA MKEWE KWA KIPIGO
Na noel Stephen mpwapwa. JESHI la polisi wilayani mpwapwa Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamis Nwage kwa tuhuma za kupiga hadi kumuua mke (mpenzi wake). Tukio hili lililotokea asubuhi ya feb 11 katika eneo la hazina wilayani mpwapwa mkoani Dodoma ambapo kijana huyo alimpiga hadi kumuua mke wake aliyetambulika kwa jina Amana Makamba kwa kutumia kitu kianachosadikiwa kuwa ni kizito hali iliyosababisha mauti(37) . Akiongea mmoja wa mashuuhuda wa tukio hilo ambae ni dada wa marehemu Bi Stela Mwasongwe amesema kuwa siku ya tukio walikuja kuambiwa na majirani kuwa mdogo wake anasadikiwa kuwa kapigwa na kujeruhiwa na mume wake ndipo walipofika eneo hilo na kumkuta mdogo wake huyo akiwa amekwishafariki. Mjomba wa marehemu musa mhina ...