Posts

Showing posts from August, 2016

WAKAZI WA KIBAKWE WAPATA CHUMBA CHA UPASUAJI.

 wakazi wa kibakwe WAKAZI 82,703   wa tarafa ya   Kibakwe   wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma   watanufaika na huduma za upasuaji   mala baada ya kukamilika kwa chumba cha upasuaji   katika kituo cha afya cha tarafa hiyo. Kwa mujibu wa mganga mkuu   wa wilya Dkt ,Said Mawji   amesema kuwa chumba hicho cha upasuaji   ni moja wapo ya miradi ya maendeleo ya afya iliyo anza kutekelezwa   katika   katika mwaka wa fedha   wa 2013/2014. Mawji alisema mala bada ya kukamilika kwa chumba hicho kitasaidia wagojwa wa tarafa hiyo waliokuwa wakipewa rufaa kwenda kufanyiwa upasujai katika hospitali ya   wilaya na kupunguza usumbufu kwa wagonjwa na kuokoa maisha ya akina mama na watoto. Aidha Dkt Mawji alisema   jengo hilo japo kuwa lilikamilika muda mrefu lakini halikunza kutumika   kutokana na ushauri wa kitaalamkutoka ka timu ya uendeshaji wa shughuli za afya mkoa RHMT   na timu ya uendeshaji ya wilaya   CHMT kuwa lengo hilo lilik

UHABA WA MAJI WASABABUISHA WATOTO WA NJE YA NDOA

MBUNGE wa jimbo la mpwapwa  George Lubeleje  ametoa siri ya chama cha mapinduzi CCM kushidwa katika chaguzi ndogo katika kata ya Kingiti kuwa ni uhaba wa maji safi na salama unao kikabili kijiji hicho. LUbeleje amesema kuwa kijiji hicho kinakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji ambapo huwalazimu akina mama kuamka  usiku wa manane kwenda kutafuta maji  kitu alicho kisema kuwa  kinapelekea wananchi wa kata hiyo kukichukia chama cha mapinduzi na kupelekea kushidwa katika chaguzi mbalimbali zinazo fanyika katika kata hiyo Aidha Lubeleje  alisema katika bajeti ya mwaka wa fedha 2016/ 2017 uongozi wa idara ya maji mjini hapa kuiweka kata hiyo  katika mpango kata zitakazo kuwaaondolea akina mama kero ya kuamka usiku wa manane kwenda kutafuta maji . Alisema kutokana na hali ya uhaba wa maji katika kata hiyo kunapelekea akina mama wengi kushidwa kufanya shughuli zingine za kimaendeleo na kubaki katika  shughuli za kutafuta maji. Kwa upande wake  Diwani wa kata Kingiti  Honarati Pima

NDALICHAKO AJIONEA UCHAVU CHUO CHA UALIMU MPWAPWA.

CHUO cha ualimu Mpwapwa kinakabiliwa na uchakavu mkubwa   ambao unatishia afya za watumishi na wanafunzi chuoni hapo Kufuatia   uchakavu huo waziri wa elimu ya   sayansi , teknolojia   na ufundi   Pr. Joyce Ndalichako   aliutaka uongozi wa   chuo   cha ualimu   Mpwapwa   kuweza   kufanya   tadhimini   ya ukarabati   mkubwa   wa chuo   hicho   kabla hakijanza   kupokea   wanafunzi wa chuo   kikuu cha Dodoma. Ndalichako aliyasema hayo   mwishoni mwa   wiki   aliotembelea   chuo hicho   kujionea   hali ya chuo hicho   kabla chuo hicho hakiananza kupokea wanafunzi walio kuwa   wakisoma UDOM   kuhamishiwa katika     chuo cha ualimu Mpwapwa kwa lengo   la serikali   kukabiliana   na chanagamoto   ya ualimu wa sayansi   hapa nchini. Pr,Ndalichako   aliyasemna   hayo mwishoni mwa wiki   alipotembelea    chuoni hapo   kujionea   hali ya chuo hicho ili kukiweka tayari kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi wa mpango maluum wa walimu ya masomo ya sayansi . Pr.Ndalichako   alisema pamoja

kikao cha madiwani.

Image
K Kaimu mkurugenzi wa halmasahauri ya Mpwapwa na kaimu mwenyeki wa hlmasahauri ya Mpwapwa George Fuime na Khomlo Njovu,wakiwa kwenye kikao.

MADIWANI WA HALMASAHURI YA MPWAPWA.

Image
Madwani wa hlmasahauri ya wilaya ya Mpwapwa wakiwa katika kikao cha  kusoma taarifa za kata zao  kilicho fanyika 17.08.2016 katika ukumbi wa halmashauri,

DC ATAKA TASISI ZIJIPANGE KUZALISHA KWA TIJA

MKUU wa wilaya ya mpwapwa mkaoni  Dodoma Bwana Jabil Shekimweli namezitaka  tasisi za serikali na tasisi za umma  wilayani hapa  kuweza kutumia  Agizo la kuhamia mjini Dodoma  kama fursa ya kukuza uchumi wa tasisi zao kwa kuongeza uzalishaji zaidi. Sha kimweli aliyasema hayo alipokuwa akiongea  na wafanayakazi wa  tasisi ya  ya utafiti wa mifugo TARILI Mpwapwa   kwa lengo la kujitambulisha  na kuzifahamu tasisi. Mkuu wa wilaya huyo alisema  kuwa agizo la  la serikali la kuhamia  Mjini Dodoma lazima litafasiliwe kwa vitendo na tasisi hizo kwa kuzalisha  kibiashara  na kuongeza tija kwa lengo la  tasisi hizo kupata faida . Aidha alisema  kuwa  serikali ikiwa imeweka mkakati wa kuhami  mjini Dodoma  lazima  tasisi hiyo  ijiwekee mkakati  wa kuzalisha  bidhaa zitokanazo  na  mifugo  kama maziwa,nyama  kwa lengo  la kukuza uchumi wa Tasisi wa Wilaya  pia. Aliongeza kuwa “unajua ifikapo mwezi desember  mwaka huu  zaidi ya wafanyakazi  wa serikali na tasisi za umma wapatao 100,000

SERIKALI INAOBWA KUWEKA SHERIA YA KULINDA HAKI ZA MAHOUSE GAIR.

SERIKALI imeobwa  kutunga    sheria  na kuzisimamia  za kulinda  haki  zawatumishi wa ndani  ili kupunguza  vitendo vya unyanyasaji na  ukatili kwa watoto . Rai hiyo ilitolewa ofisa ustawi  wa  jamii  wa halmasahauri  ya wilaya ya Mpwapwa   Bwana Richard Kiwale  alipokuwa akiongea  na Majira   ofisi kwake kwa mahojiano maluum. Kiwale alisema  siku za hivi karibuni  kumezuka vitendo vya watoto kuuwawa na  na wadada wasaidizi wa ndani (house gair) kwa kile kinacho hisiwa kuwa ni hali ya kurudisha kisasi kwa njisi wanavyo nyanyaswa na mabosi wao. Aidha  Kiwale  alisema  kuwa Mabosi wengi wanao waaajili mabinti wa  kuwasidia kazi za ndani wakuwa wakiwanyanyasa na kuwatendea ukatili  mabinti wao wa ndani kitu alicho kisema kuwa kinachangia mabinti hao kurudisha kisasi kwa watoto wanao walea kwa  kuwachinja au kuwachoma moto. “watoto wengi ndio wamekuwa wakilea watoto wenzao na hivyo   baadhi ya mabos wamekuwa wakiwanyanyasa sana wadada wa kazi kunyanyaswa sana kuwa kunyimwa haki
Image
NYUMBA YA AWALI YA MNUFAIKA WA TASAF KABLA HAJANYINGINE MWEZESHAJI WA TASAF BUMIRA AKIFURAHIA NYUMBA MPYA MALA BAADA YA KUWEZESHWA NA TASAF.

MWEZESHAJI TASAF AKIONGEA NA WALEGWA WA TASAF MPWAPWA

Image
MWEZESHAJI WA TASAF bi EFRASIA AKIONGEA NA WANACHI KIJIJI CHA BUMIRA.

TASAF YAONYESHA MAFANIKIO KWA WALEGWA MPWAPWA

BAADHI   ya WANUFAIKA wa mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF wilayani Mpwapwa mkoani   Dodoma , ikiwa ni miaka miwili tu tangu mpango   wa uhuwirishaji fedha   kwa kaya maskini   wanufaika yashuhudia njisi ulivyo weza kubalisha maisha yao kutoka hali za chini kwenda hali za unafuu wa maisha. Mmmoja wa wanufaika wa mapango huo kutoka katika kijiji cha ikuyu kata Luhudwa Bi Anna Mduwile alisema kuwa alisema kabla ya mpango huo haujanza kutekelezwa alikuwa hana makazi ambapo ilikuwa inamlazimu kulala kwenye chumba kimoja na watoto wake wanne pamoja na baba yao . Aidha Bi Anna alisema   kwamba   baada ya mpango huo kuanzishwa alijitahidi kujenga nyumba ya bati 16   yenye   vyumba viwili na sebure    na kufuga mbuzi ambapo alisema mpaka sasa tangu anze kufuga   amefikisha mbuzi 4   mbao wanasaidia kuinua kipato cha familia yao. Wakati huo   huo   wanufaika wa mradi huo katika kijiji cha bumira   wamedai kuwa baadhi ya wanufaika wa wa mradi huo   kwa watu wenye umri mkubwa    p