Posts

Showing posts from April, 2015

KLIMO CHA UMWAGILIAJI HATARINI KUTOWEKA CHAMKOLOMA

N a Stephen noel – Kongwa. KILIMO Cha   umwagiliaji   katika    kata ya chamkoloma    wilyani Kogwa   kipo hataririni kutoweka   na kufutika kabisa kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea katika vijiji vya   Tubugwe juu, Mseta,Kiboriani, na kijiji cha Sagala. Ras fm   imetembelea   maeneo hayo   ambayo ambayo ni     Tubugwe kibaoni, tubugwe juu,mseta A, Mseta bondeni,chamkoloma, makole na ambapo ilijionea uharibifu mkubwa wa mazingira ,ikiwemo wanachi wa   vijiji hivyo    kukata miti sana katika   milima hiyo na kulima katika vyanzo vya maji,   ambayo imekua ni tishio kubwa   kwa baadhi ya mabonde kuanza kukausha maji na kupungua kwa uzalishaji   wa mazao kama miwa na maharage   yanayo limwa   katika mabonde hayo. Mtendaji   kata   ya chamkolama   Bwana Fanuel Ng’anda alisema kata hiyo   ambayo imekuwa ni tegemeo kubwa la mazao ya mbogamboga   ambayo hulisha karibu mkoa mzima wa Dodoma   na mkoa jirani kama   morogoro ambayo alisema kwa sasa imepungua sana.

WAFANYA BIASHARA WAILALAMIKIA HALMASHAURI.

Na   Stephen noel mpwapwa UMOJA wa wafanya biashara wa mazao   na wakulima CHAWAMA wilayani mpwapwa mkoani   Dodoma wamelalamikia   uongozi wa halmasshauri   ya wilaya ya mpwapwa kwa upandisha   ushuru wa mazao bila kuwashirikisha wafanya   wanaya biashara   hao. Wakiongea kwa nyakati tofauti na ras fm   mjini hapa wamesema kuwa halmashauri imewapandishia ushuru kutoka shilingi   1000 kwa gunia hadi shilingi 5000 kwa gunia kitu walichosema kuwa   halmashauri inazidi kuwadidimiza zaidi. Akiongea makamu mwenyekiti wa umoja wa wafanya biashara za mazo(CHAWAMA) wilayani hapa Hamis Ally   amesema   wameshitushwa na uongozi wa halmasahauari hiyo kupandisha ushuru wa mazao bila kushirikiana na wadau,   na bila kuboresha huduma   katika soko hilo,zikiwemo huduma za vyoo, maji na umeme ambapo hulazimu kujisaidia vichakani na kwenye majumba ya watu. Aidha   Stephano Luhanga mfanya biashara wa karanga pia utaraibu wa utozaji wa   ushuru kwa mkulima umekuwa ni wa kinyonyaji   ambapo

KAZI KUBWA KUIONGOZA SERIKLI ILIYO JAA RUSHWA.ASKOFU MKUU ANGLIKANA TANZANIA

Na Stephen noel –mpwapwa ASKOFU MKUU wa kanisa la   Angilikana Tanzania   Dr. Jacob Chimeledya amesema kuwa   kuna gharama kubwa kutunza na kulinda seriklai iliyo jaa vitendo vya rushwa na ufisadi   kuwa vinaweza   kuhatarisha amani ya   Nchi yetu. Askofu chimeledya   aliyasema hayo   alipokuwa akihubiri katika      ibada   iliyofanyika katika kanisa kuu   la watakatifu wote   Vinghawe   mjini   Mpwapwa. Amesema kumekuwako na   na vitendo vya   vya   kuhatarisha amani   ambayo husababishwa na viongozi waliopewa   nafasi na wananchi wanyonge kwa    kujimilikisha   mali   za watanzania wanyonge    kusababisha   kuwepo kwa kundi kubwa la walionacho na wasio nacho kitu alichosema kinasababishwa na ubinafsi     kupungua kwa uadilifu   na kutawala kwa rushwa ndani ya taifa letu. Alisema vitendo vya ufisadi   vinavyo endelea ndani ya   serikali “vinasababishwa na watanzania wanyonge wanakufa   kwa kukosa dawa hospitalini, akina mama wanakufa kwa kukosa vifaa vya kujifungulia,na