Posts

Showing posts from February, 2014

AUWA MKEWE KWA KIPIGO

  Na noel   Stephen   mpwapwa. JESHI la polisi wilayani mpwapwa Kijana mmoja   aliyefahamika   kwa jina   la Hamis Nwage    kwa tuhuma za kupiga hadi kumuua mke     (mpenzi wake).   Tukio hili lililotokea     asubuhi ya feb 11 katika eneo la hazina wilayani mpwapwa mkoani   Dodoma   ambapo kijana huyo   alimpiga hadi kumuua mke wake aliyetambulika kwa jina Amana Makamba kwa kutumia kitu kianachosadikiwa kuwa ni kizito hali iliyosababisha mauti(37) . Akiongea   mmoja wa mashuuhuda wa tukio hilo ambae ni dada wa marehemu   Bi   Stela   Mwasongwe   amesema   kuwa   siku ya tukio   walikuja kuambiwa na   majirani   kuwa    mdogo   wake anasadikiwa   kuwa   kapigwa   na kujeruhiwa na mume wake ndipo walipofika eneo hilo na kumkuta mdogo wake huyo akiwa amekwishafariki. Mjomba wa marehemu   musa mhina    amesema kuwa    hajui kilichotokea   juu ya mtoto wao   bali   walikuja kuambiwa asubuhi   ya leo kuwa   mtoto wao   ameuwawa na mumewe    kwa tuhuma za wivu wa mapenzi . AID