Posts

Showing posts from May, 2013

KIJANA WA MIAKA 20 ABAKA MTOTO WA MIAKA 6 PWAGA MPWAPWA

Na noel Stephen mpwapwa     Kijana mmoja   aliye tambulika kwa jina Teophil Nganga(20)mkazi wa kijiji cha Pwaga   wilayani mpwapwa mkoani Dodoma   anashikiliwa na polisi   katika kituo cha polisi   Kibakwe kwa tuhuma za   kutaka kumbaka mtoto wa miaka   7 mwanafunzi wa chekekaea katika shule moja wapo ya kata   hiyo. Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika kata ya   Lumuma    wilayani mpwapwa ambapo kijana   Teophil   anadaiwa   kumbaka   mtoto huyo   kwa kumdanganya kwa kutaka kumpa karanga   za kutafuna. Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo na mwanaharakati   wa shirika la AFNET la   kuapmabana na vtendo vya ukatili wa kijinsia   katika kata hiyo Clemenc Ngewe   aliambia   mwananchi kuwa kijana huyo alimwita mtoto huyo kwa madai   ya kutaka kumpa karanga na   ndipo alipo mwingiza ndani ya   chumba chake na kuanza kumbaka. Clemenc alisema baada ya mtoto huyo   kuingia ndani    walisikia kelele za mtoto   za kuomba msaada,   na ndipo walipo enda kutoa msaada walikut